Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Crescentius Magori kakabidhiwa tu jukumu la usajili simba imejikuta iko kwenye migogo mingi ya usajili kama ya lameck lawi, kagoma, awesu awesu na kibu dennis hata chama simba wanakuja shtuka tayari ameshamalizana na yanga
Hii inakupa picha gani kuna shida simba kwa wanaohusika na mikataba itakua kuna uhuni mkubwa sana wanaufanya matokeo yake timu inaongia kwenye migogoro
Mfano wakala wa ellie mpanzu anasema tofauti ya Simba na Yanga ni kuwa Yanga wanapotaka Mchezaji unawasiliana na Mtu mmoja tu ila Simba watu ni wengi sana kwa dili moja, mara Salim, mara Mulamu mara Magori na pia walikuja kwa kuchelewa sana kuhusu kumtaka Mchezaji wangu Ellie Mpanzu, hata hivyo hawezi kwenda Simba anaenda Ulaya, lakini nilishawaambia Simba ipo siku watanitafuta, nitawapa Wachezaji wakishanilipa pesa yangu dola 5,000 kuna dili tulifanya na wanajua”“ alimalizia kwa kusema Simba hawana sera nzuri ya kutafuta Wachezaji,