Cresta inauzwa Tshs millioni 6, Mwanza

Cresta inauzwa Tshs millioni 6, Mwanza

mfukunyunzi

Senior Member
Joined
Mar 4, 2011
Posts
142
Reaction score
26
Toyota Cresta Baloon.
Colour: Silver.
Engine 4s.
Haijafunguliwa engine wala gear box, na pia haijagonga wala kugongwa. Ipo kwenye hari nzuri sana haina tatizo lolote na inatembea.
Kwa mawasiliano zaidi naomba uni PM ili tuwasiliane vizuri na kwenda kuiona kama utahitaji.
 
weka picha baibe, kavu kavu hivi hainogi
 
preta ... hili ni jukwaa la biashara na uchumi au na hiyo ni biashara .... ha haaa haaaaa

ipi hiyo, mi nimeomba picha ya mkebe au nimeharibu?
 
mkuu ... endelea haujaharibu chochote .... si unajua kazi na dawa lazima tuchekeshane ili fikra pevu zipatikane
 
Mkuu unapouza gari jitahidi uweke details zifuatazo hata kama picha itafuata baadae;

1. Model ya gari (Huwezi sema unauza T/cresta bila kutaja ni model gani e.g. GX 100 au GX 90 or?).
2. Mileage (imetembea kilometa ngapi?)
3. Ni ya mwaka gani?
4. Rangi gani?
5. cc ngapi (ndio ni 4s lakini ya cc ngapi?)
6.Automatic au mannual
7. picha za gari

Walau ukitoa details hizo hapo juu utakuwa umefanikiwa kufilter maswali mengi na you are likely to get wateja ambao ni interested kweli.
 
Hapa sawa
 
Some sellers are usually not serious. Sidhani kama mtu anahitaji degree ya marketing ku dispose gari yake.
 
Back
Top Bottom