mfukunyunzi
Senior Member
- Mar 4, 2011
- 142
- 26
weka picha baibe, kavu kavu hivi hainogi
preta ... hili ni jukwaa la biashara na uchumi au na hiyo ni biashara .... ha haaa haaaaa
ipi hiyo, mi nimeomba picha ya mkebe au nimeharibu?
ipi hiyo, mi nimeomba picha ya mkebe au nimeharibu?
ipi hiyo, mi nimeomba picha ya mkebe au nimeharibu?
Hapa sawaMkuu unapouza gari jitahidi uweke details zifuatazo hata kama picha itafuata baadae;
1. Model ya gari (Huwezi sema unauza T/cresta bila kutaja ni model gani e.g. GX 100 au GX 90 or?).
2. Mileage (imetembea kilometa ngapi?)
3. Ni ya mwaka gani?
4. Rangi gani?
5. cc ngapi (ndio ni 4s lakini ya cc ngapi?)
6.Automatic au mannual
7. picha za gari
Walau ukitoa details hizo hapo juu utakuwa umefanikiwa kufilter maswali mengi na you are likely to get wateja ambao ni interested kweli.
Mkuu unapouza gari jitahidi uweke details zifuatazo hata kama picha itafuata baadae;