Yeah, Jide amefunika wote. Ukisema ana bonge la CRIB hujakosea. Pamoja na VX anayopush (sijui kwa sasa). Nyumbani Lounge. Machozi Band. Hizi ni level ambazo Prof. Jay pia alitakiwa kuwepo LAKINI ngoja tuongee ukweli.
Profesa alikuwa mlevi mbwa na isingekuwa jitihada za wasanii wenye busara asingepiga hatua. Kwahivyo nampongeza Prof kwa kuwa na nyumba wasanii wengi wanatamani kuwa hapo ulipo. Big up ila kaza na wewe ujipatie ki'Nyumbani Lounge chako.