taekwondo
Senior Member
- Oct 6, 2016
- 127
- 215
Habari wakuu!!Wanasema kizuri kula na wenzio!!
Kama wewe ni mpenz wa kustream online hizo app mbili hutakiwi kukosa kwenye list zako
Onstream hii ni kwaajili ya kustream movie na series ni app moja nzuri sana na unaweza tumia kwa android or smart box yeyote ya kusupport android..Binafsi nilikua natumia netflix ila toka nianze tumia hii app netflix nimeipiga chini na app ni free ni wewe na bundle lako tu
Cricfy Tv Hii sasa ni kwa wapenzi wa mpira,eeeh bana hapa huna haja dstv maana mechi za league zote duniani utaziona na uzuri ina support mpka 4k streaming,kwahiyo unaona picha murua kabisa.
Ni hizo tu,nimesema ni share na nyie kama kuna nyingine unaweza tusanua kwenye comment hapo..