Crime scene investigation

ligalu16

Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
94
Reaction score
21
Habari wadau,

Jana muda wa jioni nikiwa pale ubungo mataa, kuna gari ilikuwa inatoka kimara na kuelekea manzese huku ikipiga king'ora kama vile ambulance. Lilipokaribia pale mataa nikaona limeandikwa ubavuni kwa maandishi makubwa CRIME SCENE INVESTIGATION. Nikaanza kujiuliza maswali mengi kidogo, kwanza lilikuwa na namba tu za kawaida hivyo nikajiuliza kwanini lipige king'ora?

Limebeba nini, mgonjwa au mwizi?maana hakukuwa na foleni sana na mawaswli mengineyo, ila sikupata jibu, hivyo naomba kujuzwa zaidi kuwa hiki ni kitengo ndani ya polisi ,TISS au mahakama? wanahusika na matukio gani zaidi? kimeanzishwa lini hapa kwetu, n.k.

Asubuhi njema wadau
 
hilo ni gari maalumu la jeshi la polisi lenye vifaa na teknolojia kwa ajili ya uchuaji ushahidi kutoka kwenye eneo la tukio ambapo uhalifu umefanyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…