Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 96
keshalimwa kibuti.....angalia very..Hivi humu JF kuna lawyers wanaoshughulika na mambo ya criminal?...kama wapo/yupo please naona uni -M nataka kuuliza swali la kuhusiana na mambo ya criminal kabla sijaharibu...pleaseee!
very important!.......PM!.......ASAP!
N:B
Kwa yule anayejua sheria za kimarekani lakini siyo za kibongobongo!......
keshalimwa kibuti.....angalia very..
Kwa nini usitafute local lawyer kwenye state yako? Consultation ina range kati ya $75 - $150. Pia kama una qualify kuna lawyers wanao jitolea bure.
najua hilo sasa kama nitapata lawyer wa bure.......hapa hapa bila consultation fee itakuwa very alright!.....ndiyo maana hii ni jamii forums....watu wapo na fani mbali mbali kusaidia wengine....hata ww ukija kwangu ukaniambia nikusaidie file tax for free nitakusaidia...you know what i mean?????.!!!!
Hii ni serious issue baan msilete utani aiseee!.....mbona hivyo lekini?????????????