Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Mtoto wa nyoka ni nyoka sio kauli inayoingia kila mahala. Maana baba wa mvuta bangi sio mvuta bangi labda mpaka nae awe mvutaji.
Kitendo cha kulaumu wazazi wa marehemu Hamza kuwa walizaa balaa kwa taifa letu sio kizuri maana hakuna mzazi anayeweza kuzaa mtoto alafu akaomba Mungu aje kuwa muuaji.
Kifungu cha 23 cha kanuni ya adhabu kimetamka wazi kuwa nani atakuwa mshiriki wa tendo la jinai. Anaweza kuwa mtu pekee au kikundi.
Kama Hamza aliamka peke yake bila kushirikisha ndugu zake na kisha kuua raia wema, basi familia yake isiingizwe kwenye uhalifu aliofanya Hamza.