Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
We pumbavu usitumie nembo ya Chadema kueneza UpumbavuMtoto wa nyoka ni nyoka sio kauli inayoingia kila mahala. Maana baba wa mvuta bangi sio mvuta bangi labda mpaka nae awe mvutaji.
Kitendo cha kulaumu wazazi wa marehemu Hamza kuwa walizaa balaa kwa taifa letu sio kizuri maana hakuna mzazi anayeweza kuzaa mtoto alafu akaomba Mungu aje kuwa muuaji.
Kifungu cha 23 cha kanuni ya adhabu kimetamka wazi kuwa nani atakuwa mshiriki wa tendo la jinai. Anaweza kuwa mtu pekee au kikundi.
Kama Hamza aliamka peke yake bila kushirikisha ndugu zake na kisha kuua raia wema, basi familia yake isiingizwe kwenye uhalifu aliofanya Hamza.
Sasa upumbavu wake ni upi?yaani huyo hamza alikuwa mtu mzima, na tena mwana ccm mtiifu, kwani kila mtu aliyewahi kuishi naye/aliyefanya naye kazi anashangaa, kwani alikuwa mtu safi tu, hawajui nini kimemkuta, leo eti wazazi wake/ndugu zake nao waonekane ni adui wa jamii?!!hapana sio sahihi!!tusitake kuaminishwa hivyo, vyombo vya ulinzi vinatakiwa viende mbali zaidi vijue nini hasa kilipelekea afanye hivyo!!huyo ni muhalifu kama mhalifu mwingine tu, mbona kwenye matukio mengine huwa familia za wahalifu hazinyooshewi vidole, kama hazina uhusiano wa moja kwa moja na uhalifu uliotendeka?!!.ASITAKE KUJIFICHA KWENYE KICHAKA CHA KARANGAWe pumbavu usitumie nembo ya Chadema kueneza Upumbavu
Moderators You need to Rethink
Chadema ni mali ya baba yako?We pumbavu usitumie nembo ya Chadema kueneza Upumbavu
Moderators You need to Rethink
Hiyo kwa mujibu wa sheria ipi?Wazazi lazima wawe responsible kwa kulea gaidi watu wanasema alikuwa anapotea miezi kadhaa hajulikani anapoenda
Nakubaliana na wewe kamandaSirro amechoka apumzishwe akalee wajukuu wake
Kaunde CHADEMA yenu.Moderators nembo ya CHAMA isitumike HOVYO HOVYO