Cristiano Ronaldo aanza kutimiza ahadi aliyoweka mwaka 2022

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Cristiano Ronaldo moja ya wachezaji bora Duniani ameanza kutimiza Ahadi yake ambayo aliisema Mwaka 2022 mwez wa 4 baada ya kufunga Hat trik ya 60 ambapo ali tweet katika mtandao wa Twitter na kuandika
"30 Hat-Tricks before 30 and 30 Hat-Tricks after 30.It's time to unbalance the scale"

Jana Tarehe 9 Cristiano Alifunga Goli 4 hivo kufikisha Hat-Trick ya 31 toka afikishe miaka 30 hivo kuanza kuweka utofauti wa Namba za Hat-Tricks alizofunga before hajafika miaka 30.

Cristiano is one to enjoy before he retire.

Screenshot_20230210-083623_Chrome.jpg
Screenshot_20230210-085201_Chrome.jpg
 
Cristiano Ronaldo moja ya wachezaji bora Duniani ameanza kutimiza Ahadi yake ambayo aliisema Mwaka 2022 mwez wa 4 baada ya kufunga Hat trik ya 60 ambapo ali tweet katika mtandao wa Twitter na kuandika
"30 Hat-Tricks before 30 and 30 Hat-Tricks after 30.It's time to unbalance the scale"

Jana Tarehe 8 Cristiano Alifunga Goli 4 hivo kufikisha Hat-Trick ya 31 toka afikishe miaka 30 hivo kuanza kuweka utofauti ya Namba ya Hat-Tricks alizofunga before hajafika miaka 30.

Cristiano is one to enjoy before he retire.

View attachment 2512242View attachment 2512243
Dah! Hatimaye upepo umebadilika ghafla baada ya kuanza ligi ya Waarab, kwa kusuasua.
 
Analazimisha attention. Akubali kuwa jua limezama na Andunje amemzidi.
Juz kati PSG imepigwa kwenye Coupe De France Andunje hakuemo? match za nowdays Bila Mbappe watu tunaobet PSG tunaogopa kuwapa.
But all in all mi sipendi battle ya nan bira kati ya Messi na Ronaldo ila nime reply hivo kwa sababu umeleta Mawazo ya kitoto.
#BothAreGreatest
 
Cristiano Ronaldo moja ya wachezaji bora Duniani ameanza kutimiza Ahadi yake ambayo aliisema Mwaka 2022 mwez wa 4 baada ya kufunga Hat trik ya 60 ambapo ali tweet katika mtandao wa Twitter na kuandika
"30 Hat-Tricks before 30 and 30 Hat-Tricks after 30.It's time to unbalance the scale"

Jana Tarehe 9 Cristiano Alifunga Goli 4 hivo kufikisha Hat-Trick ya 31 toka afikishe miaka 30 hivo kuanza kuweka utofauti wa Namba za Hat-Tricks alizofunga before hajafika miaka 30.

Cristiano is one to enjoy before he retire.

View attachment 2512242View attachment 2512243

Timu dhaifu, GOAT aliwapiga bayern leverkusen goli 5, hatrik matimu makubwa ndio usiseme 😄
 
Back
Top Bottom