THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
A boy from Madeira🐐G.O.A.T
#Povuruksa
Dah! Hatimaye upepo umebadilika ghafla baada ya kuanza ligi ya Waarab, kwa kusuasua.Cristiano Ronaldo moja ya wachezaji bora Duniani ameanza kutimiza Ahadi yake ambayo aliisema Mwaka 2022 mwez wa 4 baada ya kufunga Hat trik ya 60 ambapo ali tweet katika mtandao wa Twitter na kuandika
"30 Hat-Tricks before 30 and 30 Hat-Tricks after 30.It's time to unbalance the scale"
Jana Tarehe 8 Cristiano Alifunga Goli 4 hivo kufikisha Hat-Trick ya 31 toka afikishe miaka 30 hivo kuanza kuweka utofauti ya Namba ya Hat-Tricks alizofunga before hajafika miaka 30.
Cristiano is one to enjoy before he retire.
View attachment 2512242View attachment 2512243
Naaam Lilikua swala la mda mkuuDah! Hatimaye upepo umebadilika ghafla baada ya kuanza ligi ya Waarab, kwa kusuasua.
Andunje kaingiaje hapo.Analazimisha attention. Akubali kuwa jua limezama na Andunje amemzidi.
Akubali ukiwa na maana aache kufunga hizo hattrick ama unamaanisha nini mkuu,?Analazimisha attention. Akubali kuwa jua limezama na Andunje amemzidi.
Juz kati PSG imepigwa kwenye Coupe De France Andunje hakuemo? match za nowdays Bila Mbappe watu tunaobet PSG tunaogopa kuwapa.Analazimisha attention. Akubali kuwa jua limezama na Andunje amemzidi.
Kuzungumza Nini?Ashinde kombe la dunia kwanza ndio aje mezani tuanze kuzungumza upya.
Akikujibu Ni Tag...I don't know amejibu huku kalewa au😹Andunje kaingiaje hapo.
Aya Tumia akili yako sasa kuleta Hoja yako.Hio ligi kiubora ipo level Moja na conference league ya uingereza
Sio maneno yangu ni kwa viwango wa fifa
So asifunge?Hio ligi kiubora ipo level Moja na conference league ya uingereza
Sio maneno yangu ni kwa viwango wa fifa
Cristiano Ronaldo moja ya wachezaji bora Duniani ameanza kutimiza Ahadi yake ambayo aliisema Mwaka 2022 mwez wa 4 baada ya kufunga Hat trik ya 60 ambapo ali tweet katika mtandao wa Twitter na kuandika
"30 Hat-Tricks before 30 and 30 Hat-Tricks after 30.It's time to unbalance the scale"
Jana Tarehe 9 Cristiano Alifunga Goli 4 hivo kufikisha Hat-Trick ya 31 toka afikishe miaka 30 hivo kuanza kuweka utofauti wa Namba za Hat-Tricks alizofunga before hajafika miaka 30.
Cristiano is one to enjoy before he retire.
View attachment 2512242View attachment 2512243