Cristiano Ronaldo amechukua tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa ulaya

Kwanza hana qualities za kuwa team leader!!! Ulimwona cr7 alichokua anafanya kule euro??? Captain gani team ikifungwa anastaafu what a shame!!!

Cr7 is the best...ngoja achukue baloon d'or ndipo utamkubali!!!

NB acha wivu wa kike...
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Hapa umeniambia niache wivu wa kike[emoji115] [emoji115]
Hehehehee
[emoji115] [emoji115] hapa napo umegeuka [emoji15] unacheka cheko la zaidi ya Isha Mashauzi [emoji45] huelewek na hyo ndio sababu unamsapot mmoroco

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
I'm sorry to say
.
.
.
.

.
.this thread sucks
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Dont get bitter, just get better
 
Oyooooooo CR7 baby...
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Na bado.
Nafurahi huyu jamaa anavyozidi kudhihirisha kuwa yeye ni bora zaidi ya yule aliyekuwa akipambwa kwa maneno.
Go CR7 [emoji9][emoji9][emoji9]
 
Oyooooooo CR7 baby...
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Na bado.
Nafurahi huyu jamaa anavyozidi kudhihirisha kuwa yeye ni bora zaidi ya yule aliyekuwa akipambwa kwa maneno.
Go CR7 [emoji9][emoji9][emoji9]
Mimi shida yangu nataka kujua tuzo ya mbea bora JF mwaka huu itachukuliwa na nani![emoji1]
 
Mimi shida yangu nataka kujua tuzo ya mbea bora JF mwaka huu itachukuliwa na nani![emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi nina mpinzani kweli?Kama sio warumi (huyu simuwezi)...hakuna tena.
Ombeni nisipigwe bomu kwenye UKUTA nirudi kuwashushia ubuyuz maana sasa hivi nimeenda likizo ya umbea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…