Cristiano Ronaldo amechukua tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa ulaya

Acha unaaa,unafikiri kachukua kwa sababu ya fainali ya Euro tuuu? Wataalamu wamedhihirisha kuwa yeye ndiyo boraa period
Kwa hii comment na hii baridi ya leo...nenda kapate supu nitalipia mkuu.
Au kama vipi tukapate zetu supu sie...
Sio kwa raha hizi kutoka kwa CR7 [emoji39][emoji39]
 
Kwa hii comment na hii baridi ya leo...nenda kapate supu nitalipia mkuu.
Au kama vipi tukapate zetu supu sie...
Sio kwa raha hizi kutoka kwa CR7 [emoji39][emoji39]
Baada ya supu mimi nitalipia senator mbilimbili bariiiiidddd,kwa raha zetu toka kwa mnyamaaa,CR7.
 
Kunawatu wabishi kweli jitu hili CR7 limepiga goli 50 mfululizo kila msimu, misimu sita yaani toka lina miaka 23 hadi Leo 29 bado mtu anasema halijui wanaojua sasa kwa mujibu wao kama homa ya vipindi hawana consistency lakini hili Jitu linakomaa nao.Nimalizie wanalikubali kiaina
 
Jiandae kumpigia makofi CR7 Atapopewa baloon yake...hata mess atakuepo kumpa mkono wa pongezi!!
 
katwaa au katwaliwa
Shukrani ziende kwa Edder na Ramos

Kabebwa na kashfa ya ummoroco
we tatizo lako mkuu umefikiria kwa ufupi.umeconclude katika mechi xa fainali.kwani ronaldo alicheza fainali pekee? vipi kuhusu magoli yake yaliyosaidia timu zikafika hiyo fainali uliyoiangalia wewe? angalia mchango na sio nani kafunga fainali mkuu
 
kuna mijitu hapa imezaliwa na roho nyeusiiiii!!hata ufanyeje yani ndo wako hvyo!!they never change
 
Yani nilijua tu nkiweka huu uzi hapa lazima ukatize...!
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hapo roho inakuuma kweli...

Bwahahahaaaaaaaa

Labda nkuulize swali;
Unafikiri ni nani ambaye angestahili hii tuzo kama siyo cr7?
Hahahaaaa haters utasikia Neymar......
 
Hakustahili hiyo tuzo huyo babu yenu, wamempendelea tu, hakuna alichokifanya cha maana.
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…