DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
eeeh ni mfalmeWewe binti nani kakudanganya R ni mfalme? Tatizo mibongo bhana mnapenda kujitungia.
eeeh ni mfalme
Weekend njema.....Ufalme kapewa na nani?
Weekend njema.....
Hayo ya morrocco ni ya kwenu .......ππ nawe pia!!!! kwaiyo anarudi lini from Morocco?
Hayo ya morrocco ni ya kwenu .......
Sijitoi ila sina udhibitisho....labda yey mwenyewe aseme na si kwa hizo picha.Hahaaa unajitoa ufahamu etiii
HaswaaaaaHuyo ndiyo mfalme wa soka, mambo mengine ni ushabiki tu