Cristiano Ronaldo ameripotiwa kuwa anapangisha jumba lake la kifahari kwa takribani Tsh. 25,726,140 kwa mwezi

Ni pesa ndogo sana .Bongo kuna nyumba zinapangishwa kwa pesa ndefu sana.
 
Mwenye Nyumba Anakaa hapo hapo au mbali, kama anakaa hapo hapo Staki.
 
Hapo CR sio news,hapo news ni huyo mpangaji!anaitwa nani hebu tuanzie hapo.
 
Mbona anapangisha kwa pesa ndogo hivyo?

Tatizo ni nini?
 
Swali muhimu sana hili,wenye nyumba wengine wajanja wajanja sana,

Jalala Lipo?????
Halafu utasikia we lipa tu,tutakuchimbia jalala ukishahamia litakuwa tayari subiri Sasa ulipe humuoni ng'ooo
 
Halafu utasikia we lipa tu,tutakuchimbia jalala ukishahamia litakuwa tayari subiri Sasa ulipe humuoni ng'ooo
Tena hawa wenye nyumba vijana wana sound hao,usiombe ukutane nae kabla hujampa hela ya kodi atavyokupamba.

Kwanza hapo Sijui Kamba za kuanikia Nguo tuna share au kila mtu na zake,kuibiwa nguo nmechoka nataka utulivu wa nafsi.
 
🤣🤣🤣🤣Na usalama wa vibanio kwenye hizo kamba vipi?upo?
 
🤣🤣🤣🤣Na usalama wa vibanio kwenye hizo kamba vipi?upo?
sidhani,kwakweli Tangu niibiwe Dekio langu na kila mtu anasema hajui na nililianika kwenye kamba, staki tena kushare kamba za kuanika nguo.

Mi niambiwe tu na nihakikishiwe Zamu ya usafi wa choo hapo itakuaje,maswala napangwa zamu hadi Jumapili wakat nakua sipo staki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…