Cristiano Ronaldo ameripotiwa kuwa anapangisha jumba lake la kifahari kwa takribani Tsh. 25,726,140 kwa mwezi

🤣🤣🤣🤣Nimekugawa! experience Yako ni kubwa.

Je uhakika wa jirani sio msumbufu wa kuomba omba vimchuzi??
 
Ameanza kujielewa.

Nikisikia anakuwa Muislam sitoshangaa.
 
🤣🤣🤣🤣Nimekugawa! experience Yako ni kubwa.

Je uhakika wa jirani sio msumbufu wa kuomba omba vimchuzi??
Hahah Mbuyu ulianzaga kama mchichaa😂😂

Ndio mana staki vibaraza vya ku share, Majirani wanaopanda ndoo za maji mlangoni kwangu ndio staki.

mwenye nyumba aseme kabisa Mimi chumba changu n kipi, mwanzoni au kule mwisho, cha kati kati sikitaki.
 
Dalali aulizwe kabisa dari ipo??sio jirani mtukutu kazi yake kutega sikio mida ya wanga au kupanda kabisa kuangalia Darby bila tickets
 
Dalali aulizwe kabisa dari ipo??sio jirani mtukutu kazi yake kutega sikio mida ya wanga au kupanda kabisa kuangalia Darby bila tickets
Mambo hayo nimeyakataaa, ujanja huu naujua huuu😂

tena na faza house ajue kbsa chumba cha ndani staki, mambo yakugongea watu wanifungulie mlango kama naishi kwa watu staki.

Chumba changu n cha nnje tu.
 
Hivi Idriss Sultan zile pesa za Big brother angeishi na wema hapa aweke historia kwa Cr7🤩🤩🤩

Sema zilishaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…