Gautten Potten
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 1,642
- 3,426
05 February 1992.
Wote Hawa ni wazaliwa wa tarehe hizo na miaka hiyo.
Wote Hawa wanacheza eneo moja kiasili ( Winger ) kutokana na mahitaji na mifumo wamejikuta wakiangukia Ushambuliaji.
Mmoja alinukuliwa akisema " Hana nguvu tena za kupigana katika level za ushindani" Hii ni kabla ya kuondoka Ulaya miaka 2 iliyopita.
Mmoja bado anakomaa na panapo majaaliwa 2026 ndiye mshindi wa World Cup.
Nawazungumzia Cristiano Ronaldo Aveiro Dos Santos -- The Machine na NjR world Neymar Junior.
Walizaliwa siku Kama ya Leo miaka kadhaa iliyopita.
Kila mmoja kaacha muhuri wake katika ulimwengu wa kabumbu ya Continental yaani mpira mavitu.