Gautten Potten
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 1,642
- 3,426
Ikifika 2026 atasema nilipokuwa kijana nilikuwa nina ndoto za kutwaa kombe la dunia lakini sasa zimeyeyuka kama barafu juaniMmoja bado anakomaa na panapo majaaliwa 2026 ndiye mshindi wa World Cu
Nakubaliana na weweKheri ya kumbukizi ya kuzaliwa mchezaji bora kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka. The GOAT Ronaldo. Miaka 40 sasa
Huyu ndiye mshindi.Ikifika 2026 atasema nilipokuwa kijana nilikuwa nina ndoto za kutwaa kombe la dunia lakini sasa zimeyeyuka kama barafu juani
Mshindi lamine yamalHuyu ndiye mshindi.