Cristiano Ronaldo matatani kwa tuhuma za ubakaji

Ronaldo dancing with rape accuser Ronaldo dancing with rape accuser via @newscomauHQ
 
Marekani walivyo na sheria za kipumbafu za kumlinda mwanamke, Ronaldo anaweza kupigwa life ban ya kutokanyaga USA....
Sio life ban, wanaissue arrest warrant kwa Ronaldo huko huko Ulaya, akamatwe arudishwe Marekani akajibu kesi ya kubaka.

Ronaldo soon atakua kama Asange, ajifiche ubalozi wa Equador.
 
Mbona hajasema muda wote huo?! Almost 10 years now ndio anagundua kwamba alibwakwa
 
HAPA BONGO UKIMBAKA MWANAMKE AKIOGA TU USHAHIDI UMEKWISHA SA MAMBO YA 2009 INAKUAJE??? WAZUNGU BHANA
 
Hawa inakuwaje wanabaka wakati anaweza kumpata demu yoyote?
 
Sasa kumbe alilipwa chokochoko za nini tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…