Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,831
- 14,259
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram mshambuliaji matata christiano Ronaldo alimaarufu CR-7 kwa kushirikiana na Kampuni ya rafiki yake wa zaidi ya miaka 20, Jacob & Co amezindua saa mpya za kifahari zilizotengenezwa kwa ushirikiano, sahihi na Alama spesheli za Ronaldo.
Bei ya Saa inaanzia Tzs 66,333,000.00 mpaka TZS 343,507,000.00 kutokana na Model.
Binafsi nampongeza Ronaldo na wote watakaoweza kumiliki saa hizo ambazo nyingi zitakua ni limited edition (zitatengenezwa chache).