Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,968
- 8,139
Inasemekana kuwa kuna "epidemic ya dengue nchini kwetu. Kitaalamu, hii haileti maana hata kidogo; nitatoa sababu.
1. Tanzania ni nchi mojawapo ambayo dengue ni "endemic" hapa nchini kwetu ikimaanisha kuwa karibu 40% ya watanzania waliwahi kuugua dengue(knowingly or unknowingly), je wataalamu walijuaje? Ni kupitia tafiti mbalimbali ambapo wanapima vinaoitwa "antibodies" ambazo ni specific kwa virusi hao;mtu akipata maambukizi ya dengue hubaki na antibodies hizo maisha. Kuna tafiti ilifanyika znz mwaka 2010 ambapo 40% ya blood donors tested positive to the dengue antibodies. Sasa kipimo wanachotumia sasa hivi ni hicho cha "antibodies" ambacho sio diagnostic yaani haionyeshi kuwa mtu ana active infection kwa sasa; kwa maana nyingine hata mtu aliyeugua dengue mwaka 1987 akawa na homa sasa hivi alafu akachekiwa hizo antibody atakutwa nazo lakini haimaanishi kuwa kilichosababisha hiyo homa ni dengue. Hata WHO wanasema kuwa ili kipimo cha antibodies za dengue kitumike kuonyesha active infection ni lazima kifanyike mara mbili(vipishane kwa wastani wa siku 7)na kuwe na ongezeko la kiwango cha antibodies. Kipimo ambacho kinaonyesha active infection ya dengue ni antigen test specific to dengue virus ambapo kipimo hicho kipo in very few centers na ni expensive, costing up to Tshs 500,000. Sasa swali ni je, serikali imetumia kigezo gani kusema kuwa kuna dengue epidemic?
2. Nilipokuwa registrar hospitali fulani ya binafsi kuna wagonjwa walikuwa wanakuja na dalili kama hizo(fever,headache,joint and neck pain) na ukiwapima malaria ni negative, tulihisi wana dengue lakini kulikuwa hakuna vipimo vya kudhibitisha hisia zetu, tuliwatibu kulingana ma dallili zao and most of them improved, tuliitaarifu wizara husika kuhusu hilo mara tatu bila kupata majibu, pia tuliomba tupatiwe test kits za dengue(hata kwa kuuziwa) lakini hatukufanikiwa. Wizara ilipiga kimya categorically. The question is why all the hype now? Huu ugonjwa umekwepo muda tuu na umeua watu.
3.Kuna wataalam pale wizarani wa magonjwa ya kuambukiza, na wanayajua yote haya lakini wamekaa kimya(wamenyamazishwa?) Au ni dili la watu wameona test kits zao za dengue zina expire wakawapa watu 10% zao kisha ndo wakajifanya wamezinduka? Just thinking, i might be wrong; and i hope am wrong!!!