Croatia disappointed me much

Croatia disappointed me much

BANDOKITITA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
1,484
Reaction score
2,852
Hivi kweli Agentina kwa mpira ule ndio wa kumfunga Croatia. Ila Croatia nao jana sijui walikula maharage ya wapi. Pasi ngoja tusubiri inyeshe tuone panapovuja hasa akiingia Mfaransa fainali ( na ataingia tu).
 
Walizidiwa mbinu...Argenrina Mechi zote huwa anadominate possesion ila akamsoma Kuwa Croatia anapenda kucheza counter ikabidi amuachie mpira afu yeye ndo ampige counter.

Croatia walivyomiliki mpira hawakuamini wakaanza dharau kwa Argentina kumbe wanaliwa timing tu.

Argentina walichoizidi Croatia ni uwezo wa kutoa pasi makini zenye hatari.
Zile pasi ndo zimeleta magoli

Croatia walikuwa wanamiliki katikati tu ila ukifika mbele strikers wanapoteza mpira.
 
Messi will DIP (Die in PITCH) lazima abebe leo ni mfaransa na hao chini
PXL_20221211_150757521.jpg
 
Hivi kweli Agentina kwa mpira ule ndio wa kumfunga Croatia. Ila Croatia nao jana sijui walikula maharage ya wapi. Pasi ngoja tusubiri inyeshe tuone panapovuja hasa akiingia Mfaransa fainali ( na ataingia tu).
Croatia walicheza mpira upi hasa walipokutana na Brazil?

BRAZIL 11 Vs 1 CROATIA Shots on target....[emoji124][emoji16]

Muwe mnaelewa wakati mwingine matokeo ya mpira huamuliwa na mpira kudunda au bahati kwa timu flani [emoji28]
 
Hivi kweli Agentina kwa mpira ule ndio wa kumfunga Croatia. Ila Croatia nao jana sijui walikula maharage ya wapi. Pasi ngoja tusubiri inyeshe tuone panapovuja hasa akiingia Mfaransa fainali ( na ataingia tu).

Hapo unapoteza muda tu, Messi atawika Jumapili! Chezea Argentina wewe! Ufaransa takataka gani mbele ya kikosi cha Argentina! Kwanza anaweza fyatuliwa leo na Morocco!

Morocco [emoji1173] World Cup journey

QUALIFIERS
2-0 Sudan
5-0 Guinea Bissau
3-0 Guinea Bissau
4-1 Guinea
3-0 Sudan
3-0 Guinea

PLAY-OFF
1-1 DR Congo
4-1 DR Congo

TOURNAMENT
0-0 Croatia
2-0 Belgium
2-1 Canada
0-0 Spain (3-0 pens)
1-0 Portugal

13 Games
11 Wins
2 Draws
30 Goals
4 Conceded
 
Toa hiyo penalty, matokeo yanakuaje?? Wewe hadi dk za 70 Croatia hana shoot hata moja on target, hayo matokeo anayapatia wapi?
Kwanini mpira haukumalizika ktk dakika ya 70 hizo hizo, huwa mna idea hata na mpira au ni mihemuko tu ya mahaba niuwe?

Vipi shots on target zikipatikana ktk dakika za nyongeza, hairuhusiwi kukubalika [emoji848]
 
Ukae unavizia watu uende nao penalty... Maeneo mawili ya Hatari ni Box yako na Box ya adui na kote katawaliwa... Ashinde nn Croatia Km Maeneo muhimu yote hana impact
 
Croatia mpira wake WA ujanja ujanja, tangu knock out stage alikua anavizia matuta huku akimtegemea kipa wake, Jana kakutana na wahuni hawakumkawiza, ndani ya dkk 90 kanyooka chuma tatu
Alidhani anacheza na mabishoo wapaka bleach
Alistahili kuolewa maana hana timu ya kucheza fainali
 
Sasa watakutana na Morocco ambao nao wana mpira wa kuvizia hadi penaliti maana wana muaminia kipa wao pia mzuri.
 
Walizidiwa mbinu...Argenrina Mechi zote huwa anadominate possesion ila akamsoma Kuwa Croatia anapenda kucheza counter ikabidi amuachie mpira afu yeye ndo ampige counter.

Croatia walivyomiliki mpira hawakuamini wakaanza dharau kwa Argentina kumbe wanaliwa timing tu.

Argentina walichoizidi Croatia ni uwezo wa kutoa pasi makini zenye hatari.
Zile pasi ndo zimeleta magoli

Croatia walikuwa wanamiliki katikati tu ila ukifika mbele strikers wanapoteza mpira.
Ndo kimetokea leo kwa Morocco, possession kuuuubwa matokeo sifuri
 
Hivi kweli Agentina kwa mpira ule ndio wa kumfunga Croatia. Ila Croatia nao jana sijui walikula maharage ya wapi. Pasi ngoja tusubiri inyeshe tuone panapovuja hasa akiingia Mfaransa fainali ( na ataingia tu).
Walikuwa na poor game plan.... wanacheza vile vile tu mwanzo mwisho.
 
Hapo unapoteza muda tu, Messi atawika Jumapili! Chezea Argentina wewe! Ufaransa takataka gani mbele ya kikosi cha Argentina! Kwanza anaweza fyatuliwa leo na Morocco!

Morocco [emoji1173] World Cup journey

QUALIFIERS
2-0 Sudan
5-0 Guinea Bissau
3-0 Guinea Bissau
4-1 Guinea
3-0 Sudan
3-0 Guinea

PLAY-OFF
1-1 DR Congo
4-1 DR Congo

TOURNAMENT
0-0 Croatia
2-0 Belgium
2-1 Canada
0-0 Spain (3-0 pens)
1-0 Portugal

13 Games
11 Wins
2 Draws
30 Goals
4 Conceded
Ikawaje
 
Kwanini mpira haukumalizika ktk dakika ya 70 hizo hizo, huwa mna idea hata na mpira au ni mihemuko tu ya mahaba niuwe?

Vipi shots on target zikipatikana ktk dakika za nyongeza, hairuhusiwi kukubalika [emoji848]
Hata mpaka dk 90, walipata moja sijui, inapindua goli 3???

Hakuna kitu wangefanya, tu assume walipata goli moja na Argentina wanyime goli 1, matokeo yanabak vipi??

Unawaza kwa kutumia kalio
 
Back
Top Bottom