BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Ngoja tutaona fainaliWlijitahidi ila Mesi ni shida!!
Croatia walicheza mpira upi hasa walipokutana na Brazil?Hivi kweli Agentina kwa mpira ule ndio wa kumfunga Croatia. Ila Croatia nao jana sijui walikula maharage ya wapi. Pasi ngoja tusubiri inyeshe tuone panapovuja hasa akiingia Mfaransa fainali ( na ataingia tu).
Toa hiyo penalty, matokeo yanakuaje?? Wewe hadi dk ya 70 Croatia hana shoot hata moja on target, hayo matokeo anayapatia wapi?
Hivi kweli Agentina kwa mpira ule ndio wa kumfunga Croatia. Ila Croatia nao jana sijui walikula maharage ya wapi. Pasi ngoja tusubiri inyeshe tuone panapovuja hasa akiingia Mfaransa fainali ( na ataingia tu).
Kwanini mpira haukumalizika ktk dakika ya 70 hizo hizo, huwa mna idea hata na mpira au ni mihemuko tu ya mahaba niuwe?Toa hiyo penalty, matokeo yanakuaje?? Wewe hadi dk za 70 Croatia hana shoot hata moja on target, hayo matokeo anayapatia wapi?
hivi hivi watu wana beba kombe.Ng
Ngoja tutaona fainali
Sasa watakutana na Morocco ambao nao wana mpira wa kuvizia hadi penaliti maana wana muaminia kipa wao pia mzuri.Croatia mpira wake WA ujanja ujanja, tangu knock out stage alikua anavizia matuta huku akimtegemea kipa wake, Jana kakutana na wahuni hawakumkawiza, ndani ya dkk 90 kanyooka chuma tatu
Alidhani anacheza na mabishoo wapaka bleach
Alistahili kuolewa maana hana timu ya kucheza fainali
Ndo kimetokea leo kwa Morocco, possession kuuuubwa matokeo sifuriWalizidiwa mbinu...Argenrina Mechi zote huwa anadominate possesion ila akamsoma Kuwa Croatia anapenda kucheza counter ikabidi amuachie mpira afu yeye ndo ampige counter.
Croatia walivyomiliki mpira hawakuamini wakaanza dharau kwa Argentina kumbe wanaliwa timing tu.
Argentina walichoizidi Croatia ni uwezo wa kutoa pasi makini zenye hatari.
Zile pasi ndo zimeleta magoli
Croatia walikuwa wanamiliki katikati tu ila ukifika mbele strikers wanapoteza mpira.
Yes, Argentina na Ufaransa wametumia mbinu zilezile kuingia fainaliNdo kimetokea leo kwa Morocco, possession kuuuubwa matokeo sifuri
Walikuwa na poor game plan.... wanacheza vile vile tu mwanzo mwisho.Hivi kweli Agentina kwa mpira ule ndio wa kumfunga Croatia. Ila Croatia nao jana sijui walikula maharage ya wapi. Pasi ngoja tusubiri inyeshe tuone panapovuja hasa akiingia Mfaransa fainali ( na ataingia tu).
IkawajeHapo unapoteza muda tu, Messi atawika Jumapili! Chezea Argentina wewe! Ufaransa takataka gani mbele ya kikosi cha Argentina! Kwanza anaweza fyatuliwa leo na Morocco!
Morocco [emoji1173] World Cup journey
QUALIFIERS
2-0 Sudan
5-0 Guinea Bissau
3-0 Guinea Bissau
4-1 Guinea
3-0 Sudan
3-0 Guinea
PLAY-OFF
1-1 DR Congo
4-1 DR Congo
TOURNAMENT
0-0 Croatia
2-0 Belgium
2-1 Canada
0-0 Spain (3-0 pens)
1-0 Portugal
13 Games
11 Wins
2 Draws
30 Goals
4 Conceded
Hata mpaka dk 90, walipata moja sijui, inapindua goli 3???Kwanini mpira haukumalizika ktk dakika ya 70 hizo hizo, huwa mna idea hata na mpira au ni mihemuko tu ya mahaba niuwe?
Vipi shots on target zikipatikana ktk dakika za nyongeza, hairuhusiwi kukubalika [emoji848]