Croatia yaitandika San Marino 10 - 0

Croatia yaitandika San Marino 10 - 0

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hili ni onyo kwa timu vibonde kutaka kujipima ubavu na wababe .

Hadi mapumziko ubao ulikuwa unasomeka 6 - 0 , shukrani kwa mabao matatu ya Mario Mandzukic .

Onyo - soka ni kazi , huwezi acha , usijaribu utadhalilika .
 
😀😀 Kama ni Timu ye2 ingepigwa ngapi apo?

Nakumbuka hata Argentina ishawahi kuipiga goli 12-0 Equador W/C..na equador sio timu ndogo.
 
Hili ni onyo kwa timu vibonde kutaka kujipima ubavu na wababe .

Hadi mapumziko ubao ulikuwa unasomeka 6 - 0 , shukrani kwa mabao matatu ya Mario Mandzukic .

Onyo - soka ni kazi , huwezi acha , usijaribu utadhalilika .
Hiyo timu iliyofungwa ilikuwa aina kipa au walicheza nusu?
 
Hahaahaha..ukikutana na watu kama wajerumani wana roho mbaya wale kwenye mchuano usio wa kirafiki wanaweza kufanya tukio la aina yake dhidi ya taifa letu[emoji23]

😀😀 Wale ni machine gun hawana huruma na binaadamu wenzao,
 
Back
Top Bottom