Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hiyo timu iliyofungwa ilikuwa aina kipa au walicheza nusu?Hili ni onyo kwa timu vibonde kutaka kujipima ubavu na wababe .
Hadi mapumziko ubao ulikuwa unasomeka 6 - 0 , shukrani kwa mabao matatu ya Mario Mandzukic .
Onyo - soka ni kazi , huwezi acha , usijaribu utadhalilika .
Wachezaji walikuwa 11 kila upande .Hiyo timu iliyofungwa ilikuwa aina kipa au walicheza nusu?
Kuna siku Tanzania itakula goli 50 na kuvunja rekodi si ya dunia tu bali ya sayari zote .ππ Kama ni Timu ye2 ingepigwa ngapi apo?
Nakumbuka hata Argentina ishawahi kuipiga goli 12-0 Equador W/C..na equador sio timu ndogo.
Kuna siku Tanzania itakula goli 50 na kuvunja rekodi si ya dunia tu bali ya sayari zote .
Msije kuthubutu kupeleka vibonde hivi kuchuana na wazungu , aibu mtakayopata hamtoisahau .ππHata mi naona mkuu, siku hiyo na mimi nitahamia timu pinzani niepukane na aibu tutayoipata
Msije kuthubutu kupeleka vibonde hivi kuchuana na wazungu , aibu mtakayopata hamtoisahau .
Hahaahaha..ukikutana na watu kama wajerumani wana roho mbaya wale kwenye mchuano usio wa kirafiki wanaweza kufanya tukio la aina yake dhidi ya taifa letu[emoji23]Kuna siku Tanzania itakula goli 50 na kuvunja rekodi si ya dunia tu bali ya sayari zote .
Hahaahaha..ukikutana na watu kama wajerumani wana roho mbaya wale kwenye mchuano usio wa kirafiki wanaweza kufanya tukio la aina yake dhidi ya taifa letu[emoji23]
San Marino kufungwa goli nane kawaida, ingia Wikipedia uisome history yake kimchezo ndo utajua.
San Marino national football team results - Wikipedia, the free encyclopedia
Wao wakicheza tu wanafurahi, matokeo ni kitu kingine kabisa kwao.
International games played 127, won 1, drawn 4, lost 124, goals for 19, goals against 561.
Taifa stars tuombe mechi na hawa, tuwavalishe jezi za Algeria nadhani tutapata relief.