Car4Sale Crown Athlete inauzwa Dar es Salaam

Car4Sale Crown Athlete inauzwa Dar es Salaam

Gabbimakini

Member
Joined
Jun 9, 2020
Posts
19
Reaction score
7
IMG-20200627-WA0024.jpg


CROWN ATHLETE No.DRW cc 2490 Mileage covered 117222 Location Dar es salaam Posta.

Bei ni 12M, maongezi yapo piga simu 0688351006
 
Muuzaji wa gari hii ni biashara unatangaza.Jitahidi sana kuvutia wateja wako kwa kutoa picha za kutosha na maelezo sahihi. Wateja huvutiwa sana na jinsi muuzaji anavyonadi bidhaa yake. Jifunze kwa dealers wa magari wengine nchini na nje ya nchi.Asante
 
Hilo Gari litakuwa la wizi, Mbona mleta mada hakasiriki Kama wenzake wakiulizwa maswali
Kwanini nikasirike akat naweza kuignore kitu kinachoniwazia sio,nmeliweka gari mtu atakayehitaj atancheki nampa na full documents pamoja na transfer of ownership kufnya namsaidia,dhumni ya kulipost gari ni kuliuza na si maneno mengine mkuu
 
Nimefurahishwa na ustaarabu wa mtoa mada[emoji123]
 
Back
Top Bottom