Mkuu,kule Tangazo la Ajira unatafuta KAZI na umeandika kabisa upo Kahama,huku Biashara unauza Crown na hujasema ipo Kahama,Mtwara au Kasulu,umategemea mnunuzi aote kujua ilipo??halafu sijaona ulazima wa kuandika hiko kingereza chako,au ndio usomi wenyewe??