Satirical Yet Awesome
JF-Expert Member
- Oct 11, 2023
- 629
- 1,688
Kwa kipindi kidogo ambacho crown media imeanza kazi nadhani tunaweza sema ni bora kuliko Wasafi na hapo bado haina hata mwaka.
Sijasema kwamba wasafi hamna vipindi vizur ila most of their contents ni mambo ya umbea-umbea tuu ambayo hayana maana.
Kadri siku zinavozidi kwenda itazidi kuimarika na kupata exposure kubwa kwasababu ya ubora wa content na utashi.
Sio kama wasafi wanaotegemea familia ya Diamond kutengeneza content.
Big up kwa Salim Kikeke, hawa ndio waandishi wa habari tunaowataka