Satirical Yet Awesome
JF-Expert Member
- Oct 11, 2023
- 629
- 1,688
Factos🤝most of their contents ni mambo ya umbea-umbea tuu ambayo hayana maana.
Kama kweli unaishi daslam umeshindwa kuingia google ukaandika "CROWN MEDIA TANZANIA"?Ndo nini hiyo crown mbona mi niko daslam sina taarifa na hiyo meli sijui ni pantoni kwani kiba amenunua gari ya kikeke?nahitaji kujua wajameni.
Matangazo ya waganga??uwepo wa kikeke umeleta utofauti kwenye management ya media, ufanyaji kazi na content zao.
hawa crown wakiendelea na mfumo wao bila kutaka kufanana au kushindana na wengine, watafika mbali na kujipa heshima.
kuna wakati unatafuta kitu cha kukufanya usikilize redio unakosa, maana ni makelele, umbea, matusi, matangazo ya waganga na matapeli na vurugu zisizo na afya kwa msikilizaji, prefessionalism ikizingatia media zitaheshimika kama zaman kdg
Kwani google iko daslam?au hii habari ya crown nimeipata google?na wewe mfipa mwenzangu acha kuniaibisha.Kama unaishi dar Es salaam umeshindwa kuingia google ukaandika "CROWN MEDIA TANZANIA"?
mbona una aibisha jiji; mimi niko huku Sumbawanga na nimeweza kui google....
Bila shaka wewe ni KE. Vinginevyo tumepigwa, group limepungua membersNdo nini hiyo crown mbona mi niko daslam sina taarifa na hiyo meli sijui ni pantoni kwani kiba amenunua gari ya kikeke?nahitaji kujua wajameni.
Sawa ila hapa hatuzungumzii umilikiCrown ni ya kikeke sio Ally Kiba.
Mkazi wa sumbawanga, akila ya dsm, na mkazi wa dsm akili ya ngendeKama kweli unaishi daslam umeshindwa kuingia google ukaandika "CROWN MEDIA TANZANIA"?
mbona una aibisha jiji; mimi niko huku Sumbawanga na nimeweza kuiona....
Bila shaka na wewe ni KE mwenzangu na kama unahitaji kuthibitisha nakukaribisha kwa majaribio Angalizo usije ukaita mama ako aje Akusaidie.Bila shaka wewe ni KE. Vinginevyo tumepigwa, group limepungua members
Nyinyi ndo huwaga mnakuwa machawA kila kitu mnakifuatilia mnajua hadi daimondi anajamba mara ngapi kwA siku si wengine tumezaliwa kupambana na umasikini hatuvipi umuhimu visivyo na umuhimu kwetu alafu kuishi mjini sio kigezo cha kujua kila kitu nadhani hata wewe ulikuwa hujui hichi nilichokwambia,Bado kidogo tu ningekutukanA.Mkazi wa sumbawanga, akila ya dsm, na mkazi wa dsm akili ya ngende
🤣🤣🤣🤣🤣Bila shaka wewe ni KE. Vinginevyo tumepigwa, group limepungua members
Hahahahahahaha. NimepokeaNyinyi ndo huwaga mnakuwa machawA kila kitu mnakifuatilia mnajua hadi daimondi anajamba mara ngapi kwA siku si wengine tumezaliwa kupambana na umasikini hatuvipi umuhimu visivyo na umuhimu kwetu alafu kuishi mjini sio kigezo cha kujua kila kitu nadhani hata wewe ulikuwa hujui hichi nilichokwambia,Bado kidogo tu ningekutukanA.
Nadhani ni mapema sana kulinganisha WASAFI MEDIA vs CROWN kwa sababu kipya siku zote huanza kwa kishindo; rejea ufunguzi wa baa mpya au bendi mpya. Wakati utafika na utaweza kupata majibu sahihi.Kwa kipindi kidogo ambacho crown media imeanza kazi nadhani tunaweza sema ni bora kuliko Wasafi na hapo bado haina hata mwaka.
Sijasema kwamba wasafi hamna vipindi vizur ila most of their contents ni mambo ya umbea-umbea tuu ambayo hayana maana.
Kadri siku zinavozidi kwenda itazidi kuimarika na kupata exposure kubwa kwasababu ya ubora wa content na utashi.
Sio kama wasafi wanaotegemea familia ya Diamond kutengeneza content.
Big up kwa Salim Kikeke, hawa ndio waandishi wa habari tunaowataka