Tetesi: Crown Media wamezuiwa kuweka YouTube mahojiano ya Salim Kikeke na Afande Muliro

Tetesi: Crown Media wamezuiwa kuweka YouTube mahojiano ya Salim Kikeke na Afande Muliro

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Kuna kipindi kinachofanywa na Crown FM cha Salim Kikeke cha mahojiano ambacho kikishafanyika huwekwa YouTube kwa kumbukumbu.

Inavyosemekana mahojiano ya Kikeke na Afande Muliro wamechimbwa biti wasirushe kupitia YouTube wala kokote.

Je ni kweli, na kama ni kweli nini sababu?

Uhuru wa vyombo vya habari hupo wapi?

====

UPDATE: Video imerudishwa na hii ni sehemu ya Mahojiano ya video hiyo.

 
Back
Top Bottom