Crown Media zingatieni umakini wa maudhui, sio kukurupuka kuwa wa kwanza

Crown Media zingatieni umakini wa maudhui, sio kukurupuka kuwa wa kwanza

SUBMAC

Member
Joined
Apr 12, 2024
Posts
11
Reaction score
11
IMG_0461.jpeg
 
Trump anaposema kuna jinsia mbili tu mwanaume na mwanamke ina maana hajui kuwa kuna jinsia ya tatu? (simaanishi mashoga na wasagaji)
 
Ushindi wa Trump ulitokana na hii sera yake baada kuwapiga watu wa upinde na kitu kizito. Hawana hamu nae. Watanyooka tu watake wasitake watoke huko mafichoni wakatafute mademu sasa kama wanaume wengine.
 
Nasema kila siku ..hii kasumba ya kuajiri cheap labour inawagharimu sana owners wa media hasa media kubwa kama crown ni ya kuajiri wakurupukaji kama hawa kweli?yani kuna baadhi ya waandishi na watangazaji wakiwa katika majukumu yao unabaki na maswali kichwani hivi walitumia vigezo vipi kumuajiri?anaundugu wa aina gani na boss au hakuna HR hakufanya interview ...yani ni vituko
 
Back
Top Bottom