Nasema kila siku ..hii kasumba ya kuajiri cheap labour inawagharimu sana owners wa media hasa media kubwa kama crown ni ya kuajiri wakurupukaji kama hawa kweli?yani kuna baadhi ya waandishi na watangazaji wakiwa katika majukumu yao unabaki na maswali kichwani hivi walitumia vigezo vipi kumuajiri?anaundugu wa aina gani na boss au hakuna HR hakufanya interview ...yani ni vituko