Crown ni kama pisi kali

Tunaomiliki ungo tunacomment wapi? Maana speed yetu wala hakuna gari yeyote inayoifikia
 
Inachoniboa ipo chini sana. Kwa wakazi wa nje ya miji inakuwa mtihani kuimiliki.
 
Naona wewe unawachezea ndugu zangu Bavaria na RRONDO ,..
Kelele za mpangaji hazizuii mwenye nyumba kulala. Sisi Team Germany akina Crown ni michepuko yetu. Siku wife kazingua natafuta mchepuko naenda nao chimbo natoa stress! ILA ukipata mwaliko classic,shughuli zote za kifamilia na mambo kama hayo wife ndio anahusika.
Kwahio mkuu usihofu hawa mashemeji zetu tunawaelewa,ni ngumu kukubali mtu anaemkaza dada yako! 😂😂😂😂😂😂😂
 
Ndio maana Land Cruiser ya 2022 inawachapa wapinzani kama wamesimama! Sio Escalade,Ford,Chevrolet,Nissan wala mpuuzi yeyote ambaye anamzingua kwenye Drag Race!

Labda wenye superchargers ila kwa Naturally aspirated hamna kiande anaesumba.
Hiyo LC ya 2022 yenyewe ni naturally aspirated ?
 
Njoo nikupe lift kwenye VW golf 8 gti yangu dingilai uone raha ya ulaya,kitu spidi 360,halafu mziki mkubwaaaa wa kutoka haraman kadon,najua vile unayajua magari ila hutarudi tena misri (japan)[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio hayo matatizo ya kuhadithiwa khs magari,golf 8 yenye speed 360 inapatikana nchi gani?

Na pia hakuna kitu kinaitwa Haraman kadon Ila Kuna kitu kinaitwa Harman Kardon.
 
Ndio maana Land Cruiser ya 2022 inawachapa wapinzani kama wamesimama! Sio Escalade,Ford,Chevrolet,Nissan wala mpuuzi yeyote ambaye anamzingua kwenye Drag Race!

Labda wenye superchargers ila kwa Naturally aspirated hamna kiande anaesumba.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unaongea magari unayoyaona tanzania tuu,mzee hiyo lc 300 au ndugu zake wanakimbizwa vibaya sanaaaa na huko ulaya hayajulikani achia mbali hapo South Africa,unaweza tembea joberg mpaka Pretoria ukaiona LC moja 1 tuuu,mzee Toyota ipo kwa ajili ya maskini na jamii za wapenda kubinuka kwenye michanga kama uarabuni,ila maisha ya wenye hela yapo yametulia kwenye Landlover, Benz, BMW, Audi,Porsche na ndugu zao wengine wa ulaya huko,mimi kuna gari mpaka hua nabaki mdomo wazi sijawahi ziona si tanzania wala East Africa hiii nilikotembelea,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…