Hii terminal imekamilika na itatumika na watalii wanaosafiri kwa meli. Ni terminal inayopendeza kweli.
Swali: Elimu ya sekondari Kenya sio bure?The Port of Mombasa ultra modern cruise ship terminal ready to receive any cruise vessel. milton mwaivu on Twitter']pic.twitter.com/JYnOg0zBec[/URL]
— milton mwaivu (@mmwaivu) January 14, 2020
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzembe wetu au wake? Mshahara tunamplipa kwa kazi zipi sasa?
CC: Teargass Nicxie Naxvegas254Wakenya mliwahi kusema kwamba elimu ya sekondari Kenya ni bure, nini hiki tunachokiona hapa?
Sent using Jamii Forums mobile app