Ally Ashour Ally New Member Joined Jul 22, 2015 Posts 2 Reaction score 4 Nov 26, 2023 #1 Habar ma boss naombeni msaada nataka kununua cruiser ya utali war bus vitu gan ni zingatia wakati wa kukagua gar namna ya kudeal na madalali iwe coil spring sio banz Number ya fundi mzur Arusha wa cruiser pls enlist no yake kwenye comment
Habar ma boss naombeni msaada nataka kununua cruiser ya utali war bus vitu gan ni zingatia wakati wa kukagua gar namna ya kudeal na madalali iwe coil spring sio banz Number ya fundi mzur Arusha wa cruiser pls enlist no yake kwenye comment