Crusher linaweza kusaga kipande cha dhahabu?

Crusher linaweza kusaga kipande cha dhahabu?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Ukiweka kipande cha dhahabu (nugget) cha gramu 500 kwenye mawe yanayosagwa kwenye crusher linalosaga mawe yenye dhahabu, hicho kipande nacho kitasagika na kuwa unga?
 
Nimefanya kazi karasha ndugu.
Karasha linavopiga kazi jamii yoyote ya jiwe lazima igawanywe vipande vipande.labda chuma
Karasha ni noma jiwe la tani 3 linabamizwa kutoa kokoto aina mbalimbali.mfano
Dust
Kokoto mm 2.5 na 3.5 na half inchi
Hiyo dhahabu yako itageuka unga ndani ya sekunde tu
 
Mkuu hii Iko wazi. Japo sijawahi shuhudia dhahabu ikisagwa Tena yaani gram500 uisage Tena kutafuta Nini?

Karasha ni hatari mzee hicho kipande kinalika chapu tu
 
Back
Top Bottom