azariah davis
Member
- Oct 18, 2020
- 91
- 72
Cruti ni mdudu." Hana haki kbhxa Wala hakili timamu hana , ndio kauli iliyotawala kipind niko kamb flani Ivi JKT " daah maisha yalikuwa ni magumu sana.."[emoji19]
Wiki 6 sijui nini maana ya usngizi[emoji42] usiku kucha nakesha nimekaa kweny matope barid kali kinyama afu ukiinaman tyu kidogo kofii.... Paaaaaaaaaaah" kweny uparaaaa[emoji38]
Naomba kwa mliopita uko jamn tukumbushane kidog mambo ambayo mliyapitia kule JKT na nyie.."
Karbu sana.