azariah davis
Member
- Oct 18, 2020
- 91
- 72
[emoji23][emoji23][emoji38]..umenikumbusha kweny kupumzika Apo daaaah.." ani mda wa kupumzika hamna kbhxaa aisee..Mi nakumbuka mraba nlio kuwa na Lima
Dah nikawaza Sanaa nikasema Kwa jinsi navyo piga kazi hivi ningekuwa nafanya hivi kitaa ningetoboa maisha.
Maana nikajifunza kufanya kazi kuanzia sakumi alfajiri mpaka sa 12 Jioni bila kupumzika.Unapumzika wakati unakula tu.
Asee ilikuwa rahaa Sanaa.
Watu ambao hawajapitia JKT wamekosa mengi sanaaaa
Kwa hiyo mpaka sasa uko jeshini? kama sasa uko kitaa vipi umeshatoa tayaru kwa huo ujuzi wa jeshini?Mi nakumbuka mraba nlio kuwa na Lima
Dah nikawaza Sanaa nikasema Kwa jinsi navyo piga kazi hivi ningekuwa nafanya hivi kitaa ningetoboa maisha.
Maana nikajifunza kufanya kazi kuanzia sakumi alfajiri mpaka sa 12 Jioni bila kupumzika.Unapumzika wakati unakula tu.
Asee ilikuwa rahaa Sanaa.
Watu ambao hawajapitia JKT wamekosa mengi sanaaaa
KitaaKwa hiyo mpaka sasa uko jeshini? kama sasa uko kitaa vipi umeshatoa tayaru kwa huo ujuzi wa jeshini?
Kipyenga Mzee wanaitaga wahun[emoji23][emoji23][emoji23]Natoa tano nikipiga kipenga kruti ni kufoleni sawa kruti" ndiyo afande"