Tape measure
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,981
- 3,604
Sijui ni technology ama uwezo wa maulana anataka kutufumbulia kidogo siri za uumbaji??
Kuna hii technology inaitwa cryonic. Technology hii kwa mara ya kwanza ilianza 1976 mpaka sasa watu 100 wameshapatiwa hii tiba adimu yaani ya nusu kifo.
Hutumika kwa wagonjwa ambao wana magonjwa yasiyokua na tiba kwa wakati huo mfano saratani.
Mgonjwa anahifadhiwa katika mashine kwa miaka kadhaa ambapo wanagandishwa katika joto la -100. Na kuweza kurudishwa katika hali ya kawaida kwa muda then anagandishwa tena mpaka pale tiba ya ugonjwa itakapopatikana.
Bigup to all active scientists around Europe. Africa baadae sanaaaa. Perhaps one day YeS! Medication for many seriously and unknowingly diseases could be found.