Ibrah james
New Member
- Jul 20, 2021
- 4
- 3
Jamani vijana hii fursa ya kujifunza ni nzuri kwa vijana kujipatia kipato acheni platform za matapeli jifunzen hizi ni zinalipa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Funguka zaidi zinalipaje na zina uhusiano gani na crypto. You left all things hanging!!!Jamani vijana hii fursa ya kujifunza ni nzuri kwa vijana kujipatia kipato acheni platform za matapeli jifunzen hizi ni zinalipaView attachment 2338111
Yeye mwenyewe hajui kitu, kaishia kupost Candlesticks alafu kakimbia. Hizo mkuu ni Candlesticks ambazo huonesha price movements kwenye financial charts. Mambo sio rahisi kama mleta uzi anavyotaka kuwaaminisha watu. Inahitaji kutulia kusoma na kujifunza. In short sio Get Rich Quick Scheme. Ila ukiingia kichwakichwa kwenye hayo mambo utakutana na matapeli wengi mno.Funguka zaidi zinalipaje na zina uhusiano gani na crypto. You left all things hanging!!!
Sijui sijui kitu mkuu nia yangu watu wajiulize na waulize na waweze kutambua, maana sio kila mtu anamoyo wa kujifunza , mm nimesoma 4 yrs na nina experience 12yrs on market bro natrade noth volatility na currency, nafanya bitcoin mining ethereum zote.. nakadhalika hii ni kutaka kufanya vijana wajue wanaweza kutumia muda wao wa ziada kujifunzaYeye mwenyewe hajui kitu, kaishia kupost Candlesticks alafu kakimbia. Hizo mkuu ni Candlesticks ambazo huonesha price movements kwenye financial charts. Mambo sio rahisi kama mleta uzi anavyotaka kuwaaminisha watu. Inahitaji kutulia kusoma na kujifunza. In short sio Get Rich Quick Scheme. Ila ukiingia kichwakichwa kwenye hayo mambo utakutana na matapeli wengi mno.
Kama upo interested kujifunza mwenyewe bure kabisaa bila kutoa hata senti tano basi ingia hapo www.teachyourselfcrypto.com uhitaji kulila pesa yoyote kwa mtu yoyote ili kujifunza Cryptocurrency na biashara zake. There are a lot of free resources online haswa youtube.
Tafadhali.. Usijiunge na any paid group ni matapeli.
Sorry sikukuelewa, ilala sasa nikwambie Kitu Mkuu, piga kimya tu. Hapa utaishia kuitwa tapeli. Tupo kwenye jamii ambayo watu hawako tayari kujifunza. Utapoteza muda wako bure.Sijui sijui kitu mkuu nia yangu watu wajiulize na waulize na waweze kutambua, maana sio kila mtu anamoyo wa kujifunza , mm nimesoma 4 yrs na nina experience 12yrs on market bro natrade noth volatility na currency, nafanya bitcoin mining ethereum zote.. nakadhalika hii ni kutaka kufanya vijana wajue wanaweza kutumia muda wao wa ziada kujifunza
Ontario anapenda attention, ila kuna watu wapo kwenye game kitambo sana12 years,mkongwe kuliko Ontario😀.Basi wewe noma
Dogo anapenda attention.yaani akiwa tajiri yule dogo atatunyea ujue. Anajiona Kama ana akili kuliko watanzania wote.Ontario anapenda attention, ila kuna watu wapo kwenye game kitambo sana
Hahahaha.. Followers wake wengi ni madogo wa high school na chuo na walugaluga wenzie.Dogo anapenda attention.yaani akiwa tajiri yule dogo atatunyea ujue. Anajiona Kama ana akili kuliko watanzania wote.
Sasa mchalenji ama umwambie ukweli kidogo uone anakupiga block
Hiyo si kusoma candlestic ambazo zitakusaidia kufanya analysis ya soko tu?Funguka zaidi zinalipaje na zina uhusiano gani na crypto. You left all things hanging!!!
kacopy kaja kupaste jf bas karidhikaFunguka zaidi zinalipaje na zina uhusiano gani na crypto. You left all things hanging!!!
Dogo mkaldayo zama Chaka ukalime Alizeti na ufuta inalipa kichiz kuliko cryptoSorry sikukuelewa, ilala sasa nikwambie Kitu Mkuu, piga kimya tu. Hapa utaishia kuitwa tapeli. Tupo kwenye jamii ambayo watu hawako tayari kujifunza. Utapoteza muda wako bure.
If you are doing it and you are profitable, do it for yourself and your family PERIOD.
Wewe ni muhayaSijui sijui kitu mkuu nia yangu watu wajiulize na waulize na waweze kutambua, maana sio kila mtu anamoyo wa kujifunza , mm nimesoma 4 yrs na nina experience 12yrs on market bro natrade noth volatility na currency, nafanya bitcoin mining ethereum zote.. nakadhalika hii ni kutaka kufanya vijana wajue wanaweza kutumia muda wao wa ziada kujifunza
Ewe Myebusi, ni nani akuaminishae hayo iwapo sie Wakaldayo hatuyumkiniki kwayo!? 🤣🤣Dogo mkaldayo zama Chaka ukalime Alizeti na ufuta inalipa kichiz kuliko crypto