booker T washington
Senior Member
- Mar 27, 2016
- 104
- 36
*TODAY TRAINING*
*-hellow traders/investors kwa sku ya leo nitakuja kuelezea kwa ufupi juu ya mada yetu ya jana kwa faida ya yule ambae alikua hajui*
*COIN MARKETCAP... (coin market capitalization)*
marketcaptal ni maneno mawili yaani MARKET+CAPITAL...
hapa tunazungumzia mtaji wote ambao uko kwasasa kwa coin zote zilizoko market mbali mbali (exchange mbali mbali kwa ujumla)
hapa hatujumuish na coins zilizopo kwa ICO SALES au PREICOS or IBO na zingnezo ambazo hazipo kwa exchange mbali mbali..
*MFANO*
-Kwasasa coinmarketcap kwa ujumla ni zaidi ya $340 bilions ukilinganisha na jana ambapo ilikua around 330.6 bilions kama ukiangalia kwa picha niloshare jana kwenyw swali hili
*NB*
-Marketcap kwa ujumla imeshuka kwa kias kikubwa sna ukilinganisha na miez minne 4 iliyopita wakat bei ya btc ikiwa around $18000 wakat marketcap ilikua zaid ya $500 bilions
*BITCOIN DOMINANCE*
*hapa tunaangalia kwa kias gani (asilimia ngap btc imetawala mtaji mzima wa coins zilizopo kwa market mbali mbali*
-mfano kwa leo BTC DOMINANCE NI 42.6% wakat jana ilikua 42.2% so imepanda kwa 0.4% na tutagundua kuwa btc imepanda kwa aslimia kadhaa
*IMPACT ZAKE KWA UJUMLA IN BTC AND ALTCOIN PRICE*
*coinmarketcap change impact*
-tukiangalia kwa matokeo ya ujumla yanayoweza kuletwa na *COIMARKETCAP CHANGE* ni kama ifuatavo....
coinmarketcap (mtaji wa coins kwa ujumla) ukipanda means bei ya coins pia inapanda kwa ujumla kuanzia btc na altcoins... kwasababu kwa wakat huo tunaweza kuasume kuwa makampuni ma matajiri mbali mbali wameweka pesa zao in cryptocurency kwa kununua (kuinvest) kwa coins mbali mbali....
*sometimes kupanda kwa coinmaketcap kunaweza kutokana na coins mpya ambazo zinaingia market case kila coin mpya uja na mtaji wake*
coinmarketcap inaposhuka means mtaji wa soko kwa ujumla unakuwa umeshuka so upelekea btc na altcoins price kushuka pia...
*SABABU ZINAZOWEZA KUPELEKEA COINMARKETCAP KUSHUKA*
-sababu zipo nyingi ila tunaweza kuangalia sababu chache kutokana na situation ya wakat uska
*FUD*
-hapa tunazungumzia usambazaj wa taarifa mbaya on cryptocurrency ambazo zinaweza kuwa ni kutokana na kampun/matajiri fulan ili bei ishuke wao wanunue kwa bei chin... so kinachofatia watu wanaanza kuuza kwa panic (dumping) na baadae kupelekea bei kushuka kwa kasi kubwa....
*SABABU ZIPO NYING SANA HASA TUKIANGALIA KWA MARKET SIDE PIA NA DEVELOPER SIDE*
*IMPACT OF BTC DOMINANCE CHANGE*
-kama tulivoona kuwa hapa tunangalia kwa asilimia ngap BTC anatawala mtaji wa soko zima la cryptocurrency
matokeo ya hapa ni kuwa btc dominance inakuongezeka in % ina maana kuwa mtaji mkubwa wa crypto market upo kwa btc hvo altcoins ugombania mtaji mdogo uliobakia hvo altcoins nying kushuka bei ukilinganisha na zinazopanda....
*Btc dominance inaposhuka means mtaji mkubwa wa crypto market umeshikiliwa na atcoins hvo upelekea altcoins kupanda bei kwa wakat huska*
*NB*
-Change in BTC dominance ina impact in altcoins price ila sio kwa kias kikubwa ukilinganisha na change in MARKET CAP KWA UJUMLA...
*kwa leo naishia hapo mnaweza kuongeza au kuuliza pia kama mna swali and hope members watasaidia*
My WhatsApp +255656202162
-ALL THE BEST