CS Matiang'i: Moto ulioteketeza bweni Kibera haikuwa ajali bali shambulio la kukusudiwa

CS Matiang'i: Moto ulioteketeza bweni Kibera haikuwa ajali bali shambulio la kukusudiwa

Queen V

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
775
Reaction score
1,332
Waziri wa Elimu, Fred Matiang'i amethibitisha kuwa mto uliosababisha kuungua kwa bweni katika Shule ya Sekondari ya Moi na kusababisha vifo vya wanafunzi 9 haikuwa ajali bali shambulio la kukusudiwa.

Moto huo ulianza mida ya saa 8 usiku siku ya Jumamosi katika bweni la ghorofa moja ambapo wanafunzi 8 waliungua hadi kifo na mmoja kufa baadae kutokana na majeraha mabaya.

waziri Matiang'i alisema kuwa Polisi wanaendelea na uchunguzi na watuhumiwa kadhaa wanahojiwa.

Wakati huo wazazi ambao hawajawaona watoto wao wametakiwa kwenda Mortuary ya Chiromo kupeleka sampuli za vinasaba ili waweze kutambua miili.

Shule hiyo imefungwa kwa wiki 2.
 
Back
Top Bottom