Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Hawa CS Sfaxien ni timu mbovu kwenye Mechi 5 zilizopita hajapata ushindi wa sare kafungwa zote
Mnyama mkali uwanjani na kiboko ya warabu anaenda kushusha kipigo kizito ugenini na Kuongoza kundi kibabe
Sisi hatuna mahesabu ya kimasikini eti fulani afungwe sisi tushinde haya ni mahesabu ya timu changa zinazojitafuta kwenye michuano ya kimataifa kama utopolo
#Ubaya ubwela NguvuMoya