Nasikitishwa sana na wizara ya elimu kutaka kuboresha matokeo ya kidato cha nne "kwa kujali mahitaji bila kujali ubora wa elimu yenyewe"
Nasema haya kwa sababu zifuatazo
1. Tume kusema NECTA walitumia grade za juu bila wizara kujulishwa inamaanisha waziri hayuko makini na ni kwa nini tume haikupendekeza waziri kuwajibishwa kwa kukosa umakini katika suala nyeti kama hili?
2. Makamu mkuu wa chuo kikuu cha Dar es salaam Prof RWEKAZA S. MKANDALA ambaye ni m/kiti wa NECTA kasema grade zilizotumika ni za kawaida kama zilizotumiwa 2011. Je, hapa tume ilipata wapi hizo data ambazo ni tofauti na NECTA wenyewe?
3. Kama NECTA wamepinga kutoa matoken upya. Je, tunapoambiwa matokeo yanatoka ndani ya wiki hii wizara inamaanisha nini?
Watanzania lazima tuelewe kwanza na kwa kina chanzo cha mgogoro huu wa kutoa upya matokeo kati ya NECTA na wizasa maana sababu za kufeli tunazijua.