Mi pia naomba kujua Div inaanzia wapi na na kuishia wapi, Div 2, 3,etc
duuh kwanini mtindo huu usingeanza wakati ule! Dah ningekuwa nikojuuA: 75-100, B+:60-74, B:50-59, C:40-49, D:30-39, E:20-29 na F:0-19 kwa sasa
A:80-100, B:65-79, C:50-64, D:35-49 na F: 0-34 kwa zamani
Kinacho nishangaza kuna watu wana points 41 wana div 0 na kuna wengine wana points 44 wana div 4 yaani hapo ndio nilipo pigwa bumbuwaziJedwali Na 1[TABLE="class: cms_table_MsoNormalTable"]MUUNDO WA ALAMA NA UFAULU
[TR]
[TD="width: 162"][/TD]ALAMA
[TD="width: 144"][/TD]UWIGO WA ALAMA
[TD="width: 120"][/TD]IDADI YA ALAMA
[TD="width: 192"][/TD]TAFSIRI
[/TR]
[TR]
[TD="width: 162"][/TD]A
[TD="width: 144"][/TD]75 - 100
[TD="width: 120"][/TD]26
[TD="width: 192"]Ufauli Uliojipambanua[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 162"][/TD]B+
[TD="width: 144"][/TD]60 - 74
[TD="width: 120"][/TD]15
[TD="width: 192"]Ufaulu bora sana [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 162"][/TD]B
[TD="width: 144"][/TD]50- 59
[TD="width: 120"][/TD]10
[TD="width: 192"]Ufaulu mzuri sana[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 162"][/TD]C
[TD="width: 144"][/TD]40 - 49
[TD="width: 120"][/TD]10
[TD="width: 192"]Ufaulu mzuri[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 162"][/TD]D
[TD="width: 144"][/TD]30 - 39
[TD="width: 120"][/TD]10
[TD="width: 192"]Ufaulu Hafifu[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 162"][/TD]E
[TD="width: 144"][/TD]20 - 29
[TD="width: 120"][/TD]10
[TD="width: 192"]Ufaulu hafifu sana[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 162"][/TD]F
[TD="width: 144"] 0 - 19[/TD]
[TD="width: 120"][/TD]20
[TD="width: 192"]Ufaulu usioridhisha[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
duuh kwanini mtindo huu usingeanza wakati ule! Dah ningekuwa nikojuu
watakuwa wana F za masomo muhimu kama b/math ,civics etc.. kwa hiyo ni penaltyKinacho nishangaza kuna watu wana points 41 wana div 0 na kuna wengine wana points 44 wana div 4 yaani hapo ndio nilipo pigwa bumbuwazi
Kukurupuka ndiyo jadi ya Wizara ya elimu sasa subiri watakavyokurupuka na upangaji wa vigezo vya selection ili hata aliyefanya mtihani mwaka jana akarudia mwaka huu na kupata C Moja atendewe hakihuu ujinga wa kubadilisha points na kuweka mpaka E kwa O level cjui una faida gn.. me naona wamekurupuka tuu..
duuh kwanini mtindo huu usingeanza wakati ule! Dah ningekuwa nikojuu