CSO Week in Dodoma

CSO Week in Dodoma

TAI DUME

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
9,748
Reaction score
26,238
Kuna kitu kinaendelea idodomia. Ni wiki ya azaki inayoandaliwa na FCS. Mashirika yasiyo ya kiserikali ya kitaifa na kimataifa yanakutana kwenye hii event.

Kama mpaka hapo hujaelewa basi jua Uzi huu haukuhusu. Tulioko idodomia kwa ajili ya event hii tukutane hapa.
 
Sijawahi kuhudhuria hiyo event, hivi hiyo laki nne (400,000/=) ya kujisajili kwaajili ya kuhudhuria ina cover gharama zipi? Chakula, malazi na kiingilio? Ama ni kiingilio pekee tu?
 
Mkuu huu uzi ni wa siku nyingi kipindi nipo kwenye hayo maandalizi na nilishaondoka huko. Ila hii fee ni kwa ajili ya event registration kwa shirika ambapo kwa kipindi hicho ilikuwa 3 members per each shirika. Ikiwa kama mnataka kwenda wengi zaidi ilikuwa mnaongeza pesa kwa ajili ya wengine watatu.

Fee ilikuwa inacover gharama za kuingia ukumbini,chakula kuanzia btreakfast mpk dinner na vinywaji kwenye night gallaz. Sijajua kwa sasa utaratibu ni upi
 
Sasahivi nimeona watafanyia Arusha mwezi Septemba 2024, fee ni 400,000/=. Kwahiyo pesa inajumuisha na malazi? Au malazi ni utawala binafsi?
 
Hapana malazi na usafiri utajitegemea, ni matumizi ya ukumbini na chakula wakati wa mkutano.
 
Back
Top Bottom