Ctc clinic

asumpta

Member
Joined
May 18, 2012
Posts
46
Reaction score
8
Habari jamani.
naomba yeyote anaefaham hospitali au clinic ya private inayotoa dawa kwa waathirika wa HIV kwa hapa Dar.
hospitali za serikali natumia siku nzima kuchukua dawa kwa sababu ya foleni.natanguliza shukrani.
 
Masana Mbezi beach,Kinondoni kwa Dr Mvungi.Wewe unaishi maeneo gani tukutajie yakaribu kabisa au au ambayo nirahisi kufika?
 
Sioni unafuu wowote as long as dawa zinatolewa bure.. hata huko private utakuta foleni ya kutosha tu.
 
mkuu, kama agha khan nadhani wanatoa arv bure tuu. vipimo vyote na dawa ya magonjwa nyemelezi yoyote yanalipiwa. ndo maana naona usumbufu wa foleni unaweza kuwa umepungua kiasi.

kuhitaji kwenda hospitali kila mara ni kitu kinachosumbua sana. asumpta anahotaji msaada wa kila aina kumudu ratiba.
Sioni unafuu wowote as long as dawa zinatolewa bure.. hata huko private utakuta foleni ya kutosha tu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…