Cuba watu wamesoma sana lakini ni maskini wa kutupwa, Daktari wa Kubwa ukimlipa hata milioni Mbilli kwa mwezi anasahau kwao
View: https://www.instagram.com/p/DVuSeccAYgs/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
na muweka vikwazo anakuaminisha matatizo hayo ni kwasababu hakuna demokrasi
na kichaa trump anawalazimisha nchi jirani wawafukuze madaktari haoCuba watu wamesoma sana lakini ni maskini wa kutupwa, Daktari wa Kubwa ukimlipa hata milioni Mbilli kwa mwezi anasahau kwao
Kama vipi waletwe bongoCuba watu wamesoma sana lakini ni maskini wa kutupwa, Daktari wa Kubwa ukimlipa hata milioni Mbilli kwa mwezi anasahau kwao
Trump anatengeneza mazingira ya kuuangusha utawala wa kikomunisti wa CubaCuba ilitumbukia gizani kwa mara ya pili katika muda wa chini ya wiki moja Jumamosi, Machi 21, baada ya mtandao wake wa kitaifa wa nishati kushindwa tena, ukiwa umeathiriwa na miundomsingi iliyozeeka na kizuizi cha mafuta kilichowekwa na Marekani.
Usiku ulipoingia, mitaa ya Havana mara nyingi ilikuwa na giza tororo, huku watu wakivinjari kwa kutumia taa za simu au tochi, siku tano tu baada ya kukatika kwa hapo awali kwa umeme.
Katika mji huo mkongwe wa kitalii, baadhi ya mikahawa iliweza kukaa wazi kutokana na jenereta, huku wanamuziki wakicheza muziki, lakini kukatika kwa umeme mara kwa mara kumefanya maisha kuwa magumu zaidi kwa Wacuba.
Kwa huo utawala ulioifikisha Cuba hapo ilipo ni halali kabisa ikiangushwa imeifanya Cuba imekuwa Shithole Country.Trump anatengeneza mazingira ya kuuangusha utawala wa kikomunisti wa Cuba
Kwani wale wazungu? Au ndio kuchoka kwa maisha maana wamepigika?Hivi kaka polepole alisema Cuba gesi ni shingapi? Je ilikua anatupanga au? Mana niliiona video mitaa ya kule hawana tofauti na akili za mwafrika
USHA ONA, WANA NJAA HATARI, MITAANI YANI UNAAMBIWA MADEMU WA KULE WANAOJIUZA UKIENDA NA DOLLAR KADHA NI KULOMBA TU YANIKwani wale wazungu? Au ndio kuchoka kwa maisha maana wamepigika?
Kulomba ndio kufanya nini?…UKIENDA NA DOLLAR KADHA NI KULOMBA TU YANI
Russia wanafeli wapi kusaidia wenzaoTrump anatengeneza mazingira ya kuuangusha utawala wa kikomunisti wa Cuba
Yupo bize na Ukraine..Russia wanafeli wapi kusaidia wenzao
Sababu ya US imewakandamiza sana kwa vikwazo visivyoisha.Cuba watu wamesoma sana lakini ni maskini wa kutupwa, Daktari wa Kubwa ukimlipa hata milioni Mbilli kwa mwezi anasahau kwao
Jana nimeona kwenye TV ,watu pub ,full gizaUSHA ONA, WANA NJAA HATARI, MITAANI YANI UNAAMBIWA MADEMU WA KULE WANAOJIUZA UKIENDA NA DOLLAR KADHA NI KULOMBA TU YANI
Dah! Kula mbususu za wakina dada POA , mpaka wastaarabu wamepigwa na life mkuu.Kulomba ndio kufanya nini?
Ni US au ni Serikali na viongozi waoSababu ya US imewakandamiza sana kwa vikwazo visivyoisha.