zitto junior JF-Expert Member Joined Oct 7, 2013 Posts 24,661 Reaction score 40,890 Mar 28, 2026 #21 Bush Dokta said: Ni US au ni Serikali na viongozi wao Click to expand... US mkuu, wamekataza nchi kibao hata kupeleka msaada au kuwasaidia kiuchumi. Na wao hawawezi fanya biashara na nchi kibao maaana nazo zinahofia kupigwa vikwazo vya kiuchumi.
Bush Dokta said: Ni US au ni Serikali na viongozi wao Click to expand... US mkuu, wamekataza nchi kibao hata kupeleka msaada au kuwasaidia kiuchumi. Na wao hawawezi fanya biashara na nchi kibao maaana nazo zinahofia kupigwa vikwazo vya kiuchumi.
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,976 Reaction score 13,434 Mar 28, 2026 #22 Dah! Inasikitisha sana 😭 Nalog off Z
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Mar 29, 2026 #23 Pole yao sana... Cc: Mahondaw
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 34,152 Reaction score 33,036 Mar 29, 2026 #24 zachariano alexido said: Dah! Kula mbususu za wakina dada POA , mpaka wastaarabu wamepigwa na life mkuu. Click to expand... Sijakuelewa😁
zachariano alexido said: Dah! Kula mbususu za wakina dada POA , mpaka wastaarabu wamepigwa na life mkuu. Click to expand... Sijakuelewa😁
Frank Wanjiru Platinum Member Joined Apr 12, 2012 Posts 25,686 Reaction score 46,842 Mar 30, 2026 #25 zachariano alexido said: Hivi kaka polepole alisema Cuba gesi ni shingapi? Je ilikua anatupanga au? Mana niliiona video mitaa ya kule hawana tofauti na akili za mwafrika Click to expand... Ukomunisti ni laana,Wacuba wanamaisha magumu na ya kijima mno.
zachariano alexido said: Hivi kaka polepole alisema Cuba gesi ni shingapi? Je ilikua anatupanga au? Mana niliiona video mitaa ya kule hawana tofauti na akili za mwafrika Click to expand... Ukomunisti ni laana,Wacuba wanamaisha magumu na ya kijima mno.