Cuba yapambana kuzima moto mkubwa katika hifadhi yake ya mafuta

Cuba yapambana kuzima moto mkubwa katika hifadhi yake ya mafuta

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
08 August 2022
Havana, Cuba

Moto mkubwa, katika ghala ya kuhifadhia mafuta unaendelea kwa siku ya pili baada ya moja ya matenki ktk ghala hiyo ya mafuta kupingwa na radi.

Autoridades cubanas siguen luchando contra el grave incendio industrial en Matanzas


Ajali hiyo imetokea Matanzas magharibi ya nchi hiyo, na Vikosi vya kuzima moto vinaendekea kupambana na moto huo mkubwa unaoweza kuonekana kwa maili nyingi .

Tayari mji mkuu wa Cuba, Havana unaingia katika mgao wa umeme, mamlaka za serikali zinasema kutokana na ajali hiyo kubwa ya moto. Moto huo wakaazi wa nchi hiyo wanaufananisha na mithili ya moto wa kiama yaani siku za mwisho za dunia.

Source: EFE
 
Back
Top Bottom